Kilahanan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilahanan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Walahanan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kilahanan imehesabiwa kuwa watu 350 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilahanan iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilahanan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.