Kilachi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilachi ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Walachi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kilachi imehesabiwa kuwa watu 5000 nchini Vietnam na 200 nchini Uchina. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilachi iko katika kundi la Kikra.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilachi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.