Kikyirong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kikyirong (pia Kikyerung) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uchina inayozungumzwa na Wakyirong. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kikyirong nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 500. Pia kuna wasemaji 100 nchini Uchina (2002). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikyirong iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikyirong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.