Kikwa'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikwa' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakwa'. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikwa' imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikwa' iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwa' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.