Kikrache

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikrache ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wakrache. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikrache imehesabiwa kuwa watu 58,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikrache iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikrache kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.