Nenda kwa yaliyomo

Kikosi Cha Kuzuia Magendo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (kwa kifupi KMKM) ni kikosi cha cha ulinzi na usalama (jeshi) kwa ajili ya kulichoundwa kwa ajili ya kulinda uhuru wa Mzanzibar, bahari na mipaka yake [1] [2]

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Kikosi cha Kuzuia Magendo kinatokana na kilichokuwa kuwa kikosi cha wana maji cha Zanzibar kilichoundwa mwaka 1964 baada ya Mapinduzi ya Zanzibar kikiwa na malengo ya kulinda uhuru wa Mzanzibar. Kikosi hiki cha wanamaji kilifahamika kama Zanzibar Navy ambapo tarehe 1 Julai 1973 kilibadilishwa jina na kuitwa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo lakini kikiwa na malengo yale yale kama ya Zanzibar Navy.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-12. Iliwekwa mnamo 2021-06-12. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-12. Iliwekwa mnamo 2021-06-12.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kikosi Cha Kuzuia Magendo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.