Kikompane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikompane ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakompane kwenye kisiwa cha Kongan. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikompane imehesabiwa kuwa watu 330 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikompane iko katika kundi la Kiaru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikompane kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.