Kikoma
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kikoma (lugha))
Kikoma ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Wakoma. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kikoma nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 32,000. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikoma iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikoma kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikoma Archived 8 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikoma katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kmy
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |