Kikoli ya Wadiyara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kikoli-Wadiyara ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Pakistan inayozungumzwa na Wakoli. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikoli-Wadiyara nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 404,000. Pia kuna wasemaji 175,000 nchini Pakistan (1998). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikoli-Wadiyara iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoli ya Wadiyara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.