Kikoli ya Parkari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kikoli-Parkari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wakoli. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikoli-Parkari imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikoli-Parkari iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoli ya Parkari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.