Kikolami-Kaskazini-Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikolami ya Kaskazini-Magharibi ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakolami. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikolami ya Kaskazini-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 122,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikolami ya Kaskazini-Magharibi iko katika kundi la Kidravidi ya Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikolami-Kaskazini-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.