Kikoke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikoke ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Wakoke. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikoke imehesabiwa kuwa watu 600 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikoke iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoke kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.