Kikibet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikibet ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wakibet. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kikibet imehesabiwa kuwa watu 18,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikibet iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikibet kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.