Nenda kwa yaliyomo

Kiki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiki ni filamu ya kiTanzania inayoelezea maisha ya mfanyabiashara maarufu anayeitwa Kigogo, aliyeamua kujikita kwenye mbio za urais ili kulinda biashara yake na hadhi ya jina lake. Mzee Katembo ni mzee mwenye mke mmoja na watoto watatu, wawili wa kiume na wa kike. Filamu hii ilizinduliwa mwaka 2023[1]

Washiriki

[hariri | hariri chanzo]
  • Mzee Katembo
  1. Kiki, Mzee Katembo, iliwekwa mnamo 2025-08-29{{citation}}: CS1 maint: others (link)
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiki kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.