Kikhmer cha Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikhmer ya Katikati ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam na Kamboja inayozungumzwa na Wakhmer. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikhmer ya Katikati nchini Kamboja imehesabiwa kuwa watu milioni 12.9. Pia kuna wasemaji 1,060,000 nchini Vietnam (1999(. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhmer ya Katikati iko katika kundi la Kikhmer.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhmer cha Kati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.