Kikham cha Gamale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kikham ya Gamale)

Kikham ya Gamale ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wakham. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikham ya Gamale imehesabiwa kuwa watu 13,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikham ya Gamale iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikham cha Gamale kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.