Kikenyi (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikenyi (pia Lukenyi) ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Wakenyi. Idadi ya wasemaji wa Kikenyi imehesabiwa kuwa watu 390,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikenyi iko katika kundi la J10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikenyi (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.