Kikele (Gabon)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikele ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wakele. Isichanganywe na Kikele cha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikele imehesabiwa kuwa watu 9230. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikele iko katika kundi la B20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikele (Gabon) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.