Nenda kwa yaliyomo

Kikarniki cha Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikarniki cha Mashariki (pia Kingura) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakarniki katika majimbo ya New South Wales na Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikarniki cha Mashariki ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikarniki cha Mashariki kiko katika kundi la Kikarniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikarniki cha Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.