Kikaren cha Pwo Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaren ya Pwo Mashariki ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uthai inayozungumzwa na Wakaren. Mwaka wa 1998 idadi ya wazungumzaji wa Kikaren ya Pwo Mashariki imehesabiwa kuwa watu milioni moja nchini Myanmar na 50,000 nchini Uthai (ambapo huitwa Kikaren ya Pwo Kusini). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikaren ya Pwo Mashariki iko katika kundi la Kikareniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaren cha Pwo Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.