Kikaren cha Pwo Mashariki
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kikaren-Pwo-Kusini)
Kikaren ya Pwo Mashariki ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uthai inayozungumzwa na Wakaren. Mwaka wa 1998 idadi ya wazungumzaji wa Kikaren ya Pwo Mashariki imehesabiwa kuwa watu milioni moja nchini Myanmar na 50,000 nchini Uthai (ambapo huitwa Kikaren ya Pwo Kusini). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikaren ya Pwo Mashariki iko katika kundi la Kikareniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikaren ya Pwo Mashariki kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikaren ya Pwo Mashariki Archived 22 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikaren ya Pwo Mashariki katika Glottolog
- lugha ya Kikaren ya Pwo Mashariki kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaren cha Pwo Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |