Kikangri
Mandhari
Kikangri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakangri. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kikangri imehesabiwa kuwa watu 1,700,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikangri iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikangri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikangri Archived 4 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikangri kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikangri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |