Kikanauji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikanauji ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakanauji. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikanauji imehesabiwa kuwa watu 9,500,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikanauji iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanauji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.