Kikamarian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikamarian (pia Kiseruawan) ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wakamarian kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 2007 hakuwa na wasemaji wa Kikamarian. Ingawa idadi ya Wakamarian imehesabiwa kuwa watu 6000 mwaka wa 1987, kulikuwa na wazee kumi tu walioweza kuongea lugha. Kwa sasa, lugha ya Kikamarian imetoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikamarian iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikamarian kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.