Kikagua tahajia

Kikagua tahajia cha Google Chrome.
Katika utarakilishi, kikagua tahajia (kwa Kiingereza: spell checker) ni programu inayotumika ili kukagua makosa ya tahajia katika maandiko. Kwa kawaida, kikagua tahajia kinatekelezeka katika kichakata matini au kivinjari.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).