Kikaansa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaansa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wakaansa. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kikaansa imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaansa iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaansa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.