Kiejamat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kijola-Felupe)

Kiejamat ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea-Bisau na Senegal inayozungumzwa na Waejamat. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiejamat nchini Guinea-Bisau imehesabiwa kuwa watu 23,800. Pia kuna wasemaji 2230 nchini Senegal. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiejamat iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiejamat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.