Kijarawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kijarawa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wajarawa. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kijarawa imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijarawa iko katika kundi la Kibantoidi-Kusini linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijarawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.