Kiiranun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiiranun ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino na Malaysia inayozungumzwa na Wairanun. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiiranun nchini Ufilipino imehesabiwa kuwa watu 241,000. Pia kuna wasemaji 15,000 nchini Malaysia (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiranun iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiiranun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.