Nenda kwa yaliyomo

Kiinterslavik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bendera ya Kiinterslavik

Kiinterslavik (Medžuslovjanski jezyk) ni lugha unde inayosemwa na takriban watu 7,000. Mradi ulianza mwaka wa 2006, kwa jina Kislovianski. Halafu mwaka wa 2011, jina lake lilibadilishwa kuwa Kiinterslavik.[1]

Mfano wa maneno na sentensi

[hariri | hariri chanzo]
  • kompjuter (kompyuter) - kompyuta
  • telefon - simu
  • kniga (k(a)niga) - kitabu
  • televizor - televisheni
  • držka (darjka) - kalamu
  • jedin (yedin) - moja
  • dva - mbili
  • tri - tatu
  • četyri (cheteri) - nne
  • pet - tano
  • šest (shest) - sita
  • sedm (sedem) - saba
  • osm (osem) - nane
  • devet - tisa
  • deset - kumi
  • lev - simba
  • hippotam - kiboko
  • jež - nungunungu
  • myš (mesh) - panya
  • kotka - paka
  • pes - mbwa
  • katka - bata

Sentensi rahisi

[hariri | hariri chanzo]
  • Zdrav! (z(a)drav) - hamjambo, hujambo
  • Kako jesi? - Hujambo?
  • Ja jesm........ - (Mi)mi ni.........
  • Kto ty? - Wewe ni nani?
  • Ahoj! - habari
  • Kako jest tvoje ime? - Jina lako ni nani?
  • Moje ime jest......... - Jina langu ni..........
  • Ja čitam knigu. - Nasoma kitabu.
  • Ja tut rabotam. - Nafanya kazi hapa.
  • Kde ty rabotaš? - Unafanya kazi wapi?
  • Čto ty čitaš? - Unasoma nini?
  • čitati - kusoma
  • rabotati - kufanya kazi
  1. "Interslavic – Introduction". steen.free.fr. Iliwekwa mnamo 2026-05-29.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiinterslavik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.