Kiinterlingue

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiinterlingue (awali: Occidental) ni lugha ya kupangwa iliyoanzishwa na Edgar de Wahl mwaka 1922 kwa kutegemea zaidi lugha za Kihindi-Kiulaya , hasa lugha za Kirumi.

Fasihi[hariri | hariri chanzo]

  • Kajš, Jan Amos (1938) Krasina, raconta del subterrania del Moravian carst[1].
  • Podobský, Jaroslav (1935/1947) Li astres del Verne[2].
  • Costalago, Vicente (2021) Li sercha in li castelle Dewahl e altri racontas[3].
  • Costalago, Vicente (2021) Antologie hispan[4].
  • Costalago, Vicente (2021) Fabules, racontas e mites[5].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Krasina : Raconta del subterrania del Moravian Carst. OCLC 493973352. 
  2. Li Astres del Verne : Poesie. OCLC 494042722. 
  3. Li sercha in li castelle Dewahl e altri racontas
  4. Antologie hispan. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-04-09. Iliwekwa mnamo 2022-01-01.
  5. Fabules, racontas e mites. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-04-09. Iliwekwa mnamo 2022-01-01.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiinterlingue kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.