Kihurio
Jump to navigation
Jump to search
Kihurio ni kata ya Wilaya ya Same katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania.
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,341 [1] walioishi humo.
Zamani ya ukoloni wa Kijerumani iliitwa "Friedenstal" (Bonde la Amani)[2].
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Same DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-21.
- ↑ Linganisha Orodha ya vituo vya metrolojia vya kihistoria, Huduma ya Mterolojia ya Ujerumani, iliangaliwa Machi 2021
![]() |
Kata za Wilaya ya Same - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania | ![]() | ||
---|---|---|---|---|
Bangalala | Bendera | Bombo | Bwambo | Chome | Gavao Sawene | Hedaru | Kalemawe | Kihurio | Kirangare | Kisima | Kisiwani | Lugulu | Mabilioni | Makanya | Maore | Mhezi | Mpinji | Mshewa | Msindo | Mtii | Mwembe | Myamba | Ndungu | Njoro | Ruvu | Same Mjini | Stesheni | Suji | Tae | Vudee | Vuje | Vumari | Vunta|}
|