Kihukumina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihukumina (pia Kibambaa) ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wahukumina kwenye kisiwa cha Buru. Hakuna watu wanaojulikana kuongea lugha ya Kihukumina, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihukumina iko katika kundi la Kimalayo-Polinesia kama lugha nyingi za Kiaustronesia; haiwezekani kuiainisha kwa usahihi zaidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihukumina kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.