Nenda kwa yaliyomo

Kihoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihoro kilikuwa lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad iliyozungumzwa na Wahoro. Hakuna wasemaji waliobaki wa Kihoro kwa vile wamebadilisha lugha kuongea Kingam badala ya lugha yao ya Kihoro. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihoro iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihoro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.