Kiharoi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiharoi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vietnam inayozungumzwa na Waharoi. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiharoi imehesabiwa kuwa watu 35,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiharoi iko katika kundi la Kichamiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiharoi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.