Kihano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihano ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wahano kwenye visiwa vya Raga, Whitsuntide na Maewo. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kihano imehesabiwa kuwa watu 6500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihano iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihano kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.