Kigurmana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigurmana ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagurmana. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kigurmana imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigurmana iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigurmana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.