Kigungu (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigungu (pia Lugungu) ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Wagungu. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigungu imehesabiwa kuwa watu 49,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kigungu iko katika kundi la J10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigungu (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.