Kigorontalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigorontalo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wagorontalo kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigorontalo imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigorontalo iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigorontalo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.