Kigondi-Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kigondi ya Kaskazini)

Kigondi ya Kaskazini ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagondi. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kigondi ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 1,950,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigondi ya Kaskazini iko katika kundi lake lenyewe la Kigondi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigondi-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.