Kigezo:Jedwali la uchumi
Mandhari
Jedwali la uchumi linaonyesha vipimo vikuu vya uchumi, ikiwa ni pamoja na Pato la Taifa,biashara, fedha za umma, mfumuko wa bei, ajira,Umaskini na sekta kuu za uchumi. Linasaidia kuweka viwango vya data za uchumi katika makala ili kuhakikisha uwazi na ulinganifu. Kila kipengele kinapaswa kuwa na marejeo sahihi ili kuthibitisha usahihi na uaminifu wa data. Inashauriwa kusasisha mara kwa mara ili kuakisi hali ya uchumi ya sasa.
Mfano
[hariri chanzo]Uchumi wa Kenya | |
---|---|
![]() |
|
Sarafu | Shilingi ya Kenya (KES) |
Shirika la Biashara | AU, AfCFTA, EAC, COMESA, CEN-SAD, WTO na Zinginezo |
Takwimu | |
Pato la taifa | ▲ $475 bilioni (PPP) ▲ $116 bilioni (Kawaida) |
Kwa kila mtu | ▲ $7,100 (PPP) ▲ $2,200 (Kawaida) |
Mfumuko wa Bei (2023) | 7.9%% |
Ukosefu wa Ajira (2022) | 2.98% |
PLT kwa Sekta | Kilimo: 29% Viwanda:18% Huduma: 53% |
Umaskini (2022) | 14.1% |
Gini (2022) | ![]() |
HDI (2022) | ▲ 0.601 |
Biashara | |
Mahuruji (2022) | ![]() |
Bidhaa | Chai, mazao ya bustani, kahawa, mafuta ya petroli, samaki, saruji, mavazi |
Maduhuli (2022) | ![]() |
Bidhaa | Mashine na vifaa vya usafirishaji, mafuta, bidhaa za petroli, magari, chuma na chuma, resini na plastiki. |
Urari wa malipo (2021) | ▲ -4.32 Bilioni USD |
Fedha za Umma | |
Deni la Umma (2023) | 67.1% kwa Pato la taifa |
Uwiano wa Bajeti (2024) | -6.7% kwa Pato la taifa |
Hifadhi ya Fedha za Kigeni (2019) | Bilioni 7.354 USD |
Matumizi
[hariri chanzo]Tafadhali thibitisha kila kipengele kwa kupeana vyanzo.
{{Jedwali la uchumi | nchi = | picha = | shirika_biashara = | plt_ppp = | plt_ppp_mwaka = | plt_ppp_kwa_mtu = | plt_kawaida = | plt_kawaida_mwaka = | plt_kwa_kila_mtu = | orodha_plt_kawaida = | mfumuko_bei = | ukosefu_ajira = | sekta_viwanda = | plt_kwa_sekta = | gini = | hdi = | umaskini = | mahuruji = | bidhaa_mahuruji = | bidhaa_maduhuli = | maduhuli = | urari_wa_malipo = | deni_umma = | hifadhi_ya_kigeni = | uwiano_wa_bajeti = | sarafu = }}