Nenda kwa yaliyomo

Kigeu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katika hisabati, kigeu ni namba ambayo thamani yake inageuka katika husisho.[1] Kwa mfano, fikiria husisho hili:

Namba x ni kigeu cha husisho f. Namba a na b ni visobadilika (na pia vizigeu); thamani zake hazijafahamika lakini hazibadiliki katika husisho.

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigeu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Hisabati: Kitabu cha Mwanafunzi: Darasa la Sita. Taasisi ya Elimu Tanzania.