Kigbe-Xwla-Magharibi
Jump to navigation
Jump to search
Kigbe-Xwla-Magharibi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin na Togo inayozungumzwa na Wagbe. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigbe-Xwla-Magharibi nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 50,000. Pia kuna wasemaji 21,000 nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbe-Xwla-Magharibi iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- lugha ya Kixwla-Magharibi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kixwla-Magharibi
- lugha ya Kixwla-Magharibi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/xwl
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigbe-Xwla-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |