Kigbari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigbari ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagbari. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigbari imehesabiwa kuwa watu 350,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbari iko katika kundi la Kinupoidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigbari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.