Kigawwada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kigawwada ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wagawwada. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kigawwada imehesabiwa kuwa watu 32,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigawwada iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigawwada kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.