Kigagadu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Kigagadu upande wa kaskazini wa Australia (buluu)

Kigagadu (pia Kikakadu au Kigaagudju) ilikuwa lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagagadu katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigagadu ilitoweka. Msemaji wa mwisho akafariki mwaka wa 2002. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigagadu kiko katika kundi lake lenyewe la Kigagadu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigagadu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.