Kifuliiru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifuliiru ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wafuliiru. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kifuliiru imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kifuliiru iko katika kundi la J50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifuliiru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.