Kifulfulde-Kano
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kifulfulde-Kano (lugha))
Kifulfulde-Kano ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria, Kamerun na Chad inayozungumzwa na Wafulfulde. Lugha hiyo ni lugha mojawapo ya lugha za Kifulfulde. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kifulfulde-Kano imehesabiwa kuwa watu 1,710,000 nchini Nigeria. Pia kuna wasemaji nchini Kamerun na Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifulfulde-Kano iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kifulfulde-Kano kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kifulfulde-Kano Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kifulfulde-Kano katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/fuv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifulfulde-Kano kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |