Kifordata
Mandhari
Kifordata (pia Kilarat au Kivaidida) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wafordata kwenye visiwa vya Fordata, Larat, Molu-Maru, Yamdena na Seira. Pia Wafordata wengine wamehamia mji wa Jakarta. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kifordata imehesabiwa kuwa watu 50,000 ambao nusu yao, yaani 25,000, waliishi nje ya eneo la asili. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifordata iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kifordata kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kifordata Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kifordata katika Glottolog
- lugha ya Kifordata kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifordata kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |