Kifongoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifongoro ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wafongoro. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kifongoro imehesabiwa kuwa watu 1000 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifongoro iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifongoro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.